Ufafanuzi wa muhadarati katika Kiswahili

muhadarati, mihadarati

nominoPlural miuhadarati

  • 1

    kitu kinachoondosha akili kwa muda fulani au kufifisha au kutia ganzi akili, hisia ikakosekana.

  • 2

    dawa ya kulevya k.v. bangi, kokeini, afyuni, n.k..

Asili

Kar

Matamshi

muhadarati

/muhadarati/