Ufafanuzi wa muhtaramu katika Kiswahili

muhtaramu

nomino

  • 1

    tamko la heshima litumiwalo kabla ya jina la mtu.

    muadhamu

Asili

Kar

Matamshi

muhtaramu

/muhtaramu/