Ufafanuzi wa muhula katika Kiswahili

muhula

nominoPlural miuhula

  • 1

    kipindi cha muda maalumu k.v. katika mwaka.

    ‘Kila baada ya muhula wa miezi fulani shule hufungwa’
    wakati

Asili

Kar

Matamshi

muhula

/muhula/