Ufafanuzi wa mukhtari katika Kiswahili

mukhtari

nominoPlural mukhtari

Kidini
  • 1

    Kidini
    mtu anayesadikiwa kuwa amechaguliwa na Mwenyezi Mungu k.v. mtume.

Asili

Kar

Matamshi

mukhtari

/muɚtari/