Ufafanuzi msingi wa mumiani katika Kiswahili

: mumiani1mumiani2

mumiani1

nominoPlural mumiani

  • 1

    dawa ambayo hapo kale ilitumiwa na Wamisri kuhifadhia maiti wao wasioze.

Asili

Kaj

Matamshi

mumiani

/mumijani/

Ufafanuzi msingi wa mumiani katika Kiswahili

: mumiani1mumiani2

mumiani2

nominoPlural mumiani

  • 1

    mtu anayewakamata watu na kuwatoa damu mpaka wafe kwa makusudi ya kuiuza.

Asili

Kaj

Matamshi

mumiani

/mumiani/