Ufafanuzi wa mundu katika Kiswahili

mundu

nominoPlural miundu

  • 1

    panga au kisu kikubwa kilichopinda nchani cha kukatia miti au vitu vingine.

Matamshi

mundu

/mundu/