Ufafanuzi wa mung’unye katika Kiswahili

mung’unye

nomino

  • 1

    boga dogo, refu na jembamba lililo jeupe ndani na likikauka hutengenezwa kibuyu.

    bodwe

Matamshi

mung’unye

/muŋuɲe/