Ufafanuzi wa muru katika Kiswahili

muru

nominoPlural muru

  • 1

    aina ya dawa nyeusi iliyo chungu inayotumiwa kwa ugonjwa wa tumbo au kupaka sehemu ya mwili iliyovimba.

Matamshi

muru

/muru/