Ufafanuzi wa mushtara katika Kiswahili

mushtara

nomino

  • 1

    aina mojawapo ya sayari, kubwa kupita zote katika elimu ya falaki.

Asili

Kar

Matamshi

mushtara

/mu∫tara/