Ufafanuzi wa muswada katika Kiswahili

muswada

nominoPlural miuswada

  • 1

    maandishi ya kwanza yanayotayarishwa ili kupitiwa na kufanyiwa marekebisho kabla ya kuchapishwa.

  • 2

    maandishi yenye mapendekezo yanayopelekwa bungeni ili kujadiliwa kabla ya kupitishwa kuwa sheria.

Asili

Kar

Matamshi

muswada

/muswada/