Ufafanuzi wa muungwana katika Kiswahili

muungwana

nominoPlural wauungwana

  • 1

    mtu mwenye adabu na tabia zinazokubalika katika jamii.

    adinasi

  • 2

    mtu asiye mtumwa.

Asili

Kar

Matamshi

muungwana

/mu:ngwana/