Ufafanuzi wa muwa katika Kiswahili

muwa, mua

nominoPlural miwa

  • 1

    mmea wenye shina refu unaofanana na mwanzi unaotoa maji matamu na ambayo husindikwa na kutengenezwa sukari.

    genderi

  • 2

    zao lake.

Matamshi

muwa

/muwa/