Ufafanuzi wa mvamizi katika Kiswahili

mvamizi

nominoPlural wavamizi

  • 1

    mtu anayeshambulia mwingine kwa ghafla.

  • 2

    mtu anayeingia mahali bila idhini.

Matamshi

mvamizi

/mvamizi/