Ufafanuzi wa mvilio katika Kiswahili

mvilio

nominoPlural mivilio

  • 1

    hali ya kuvilia kwa damu.

Matamshi

mvilio

/mvilijɔ/