Ufafanuzi wa mvimbo katika Kiswahili

mvimbo

nominoPlural mivimbo

  • 1

    namna ya uvimbaji wa kitu.

Matamshi

mvimbo

/mvimbɔ/