Ufafanuzi wa mvinje katika Kiswahili

mvinje

nominoPlural mivinje

  • 1

    mti mrefu wenye majani membamba sana yanayofanana na nyuzi na unaozaa matunda madogomadogo na magumu.

Matamshi

mvinje

/mvinʄɛ/