Ufafanuzi wa mviringo katika Kiswahili

mviringo

nominoPlural miviringo

  • 1

    umbo lililo duara.

    mzunguko, mzingo, duara

Matamshi

mviringo

/mviringɔ/