Ufafanuzi wa mvivu katika Kiswahili

mvivu

nominoPlural wavivu

  • 1

    mtu asiyependa kufanya kazi.

    mtepetevu, mkunguni

  • 2

    mlegevu, mzembe

Matamshi

mvivu

/mvivu/