Ufafanuzi wa mvule katika Kiswahili

mvule

nominoPlural mivule

  • 1

    mti mkubwa na mrefu wenye matawi machache na majani yaliyochongoka nchani ambao mbao zake hutumiwa kutengenezea samani za nyumbani k.v. meza au viti.

Matamshi

mvule

/mvulɛ/