Ufafanuzi wa mvungu katika Kiswahili

mvungu

nomino

  • 1

    sehemu wazi iliyo chini ya kitu k.v. kitanda au meza.

Matamshi

mvungu

/mvungu/