Ufafanuzi wa mvurugano katika Kiswahili

mvurugano

nomino

  • 1

    ghasia zinazoleta tofauti baina ya pande mbili au zaidi.

Matamshi

mvurugano

/mvuruganÉ”/