Ufafanuzi wa mvyele katika Kiswahili

mvyele

nominoPlural wavyele

  • 1

    baba au mama wa mtu fulani.

    mzazi

Matamshi

mvyele

/mvjɛlɛ/