Ufafanuzi wa mwadidi katika Kiswahili

mwadidi

nominoPlural wadidi

  • 1

    mtu ambaye anafanya kazi ya kukusanya takwimu za maendeleo ya watu katika eneo mahususi.

Matamshi

mwadidi

/mwadidi/