Ufafanuzi wa mwadilifu katika Kiswahili

mwadilifu

nominoPlural wadilifu

  • 1

    mtu mwenye kufuata maadili ya jamii yake kwa kiwango kikubwa.

  • 2

    mtenda haki bila ya kupendelea.

Asili

Kar

Matamshi

mwadilifu

/mwadilifu/