Ufafanuzi wa mwafulani katika Kiswahili

mwafulani

nominoPlural wafulani

  • 1

    neno litumikalo badala ya jina la mtu kwa ajili ya kutotaka kulitaja jina lake ili watu wasifahamu anayezungumzwa.

    ‘Siku hizi mwafulani hana lake’
    mwajimbo

Asili

Kar

Matamshi

mwafulani

/mwafulani/