Ufafanuzi wa mwaga katika Kiswahili

mwaga, mwaya

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    tawanya kitu chini k.v. maji, unga au mchele.

  • 2

    kupua

Matamshi

mwaga

/mwaga/