Ufafanuzi wa mwagika katika Kiswahili

mwagika

kitenzi sielekezi

  • 1

    tawanyika kwa kitu kigumu, kiowevu au cha ungaunga kutoka mahali kilimotiwa.

  • 2

    agaa

Matamshi

mwagika

/mwagika/