Ufafanuzi wa mwaka katika Kiswahili

mwaka

nominoPlural myaka

  • 1

    kipindi cha miezi kumi na miwili.

  • 2

    kipindi cha kuanzia Januari hadi Disemba; Mfunguo Mosi hadi mwezi wa Ramadhani.

  • 3

    siku inayoadhimishwa baada ya kibunzi, ambayo ni mkesha wa kuaga mwaka.

Matamshi

mwaka

/mwaka/