Ufafanuzi wa mwalamu katika Kiswahili

mwalamu

nominoPlural myalamu

  • 1

    alama ya rangi, hasa katika nguo k.v. paku, mlia, n.k..

Matamshi

mwalamu

/mwalamu/