Ufafanuzi msingi wa mwale katika Kiswahili

: mwale1mwale2mwale3

mwale1

nominoPlural myale

  • 1

    mti mrefu wenye majani kama mnazi ambao shina lake hutumika kujengea nyumba.

Matamshi

mwale

/mwalɛ/

Ufafanuzi msingi wa mwale katika Kiswahili

: mwale1mwale2mwale3

mwale2

nominoPlural myale

  • 1

    moshi ulioshikana na kufanya kitonge cha vumbi jeusi au utandabui.

Matamshi

mwale

/mwalɛ/

Ufafanuzi msingi wa mwale katika Kiswahili

: mwale1mwale2mwale3

mwale3

nominoPlural myale

Matamshi

mwale

/mwalɛ/