Ufafanuzi wa mwaloni katika Kiswahili

mwaloni

nominoPlural myaloni

  • 1

    mti wenye majani ya kijani iliyokolea, ambao haupukutishi majani wakati wa kiangazi.

Matamshi

mwaloni

/mwalɔni/