Ufafanuzi wa mwamana katika Kiswahili

mwamana

nomino

  • 1

    mtu anayeaminika na ambaye anakubalika katika kumdhamini mwingine.

Asili

Kar

Matamshi

mwamana

/mwamana/