Ufafanuzi wa mwamizi katika Kiswahili

mwamizi, mwamiaji

nominoPlural wamizi

  • 1

    mtu afanyaye kazi ya kuamia ndege shamba.

Asili

Kar

Matamshi

mwamizi

/mwamizi/