Ufafanuzi wa mwamko katika Kiswahili

mwamko

nomino

  • 1

    ari au hamasa ya kutenda jambo.

Matamshi

mwamko

/mwamkÉ”/