Ufafanuzi wa mwamuzi katika Kiswahili

mwamuzi

nominoPlural wamuzi

  • 1

    mtu anayesuluhisha ugomvi baina ya pande mbili au zaidi zinazohitilafiana.

  • 2

    mtu mwenye kuchezesha mchezo kulingana na sheria za mchezo huo na uamuzi wake ndio wa mwisho.

    refa

Matamshi

mwamuzi

/mwamuzi/