Ufafanuzi wa Mwana hufuata kisogo cha nina katika Kiswahili

Mwana hufuata kisogo cha nina

msemo

  • 1

    mwana huiga tabia ya mamaye.