Ufafanuzi wa mwanaanga katika Kiswahili

mwanaanga

nominoPlural wanaanga

  • 1

    mtu anayeshughulika na utafiti wa mambo ya anga.

  • 2

    mtu anayesafiri na chombo cha kusafiria angani k.v. roketi.

Matamshi

mwanaanga

/mwana anga/