Ufafanuzi wa mwanachuoni katika Kiswahili

mwanachuoni, mwanazuoni

nomino

  • 1

    mtu ambaye ana utaalamu wa kiwango cha juu wa somo au maarifa fulani.

    aalimu, ulamaa