Ufafanuzi wa mwanafasihi katika Kiswahili

mwanafasihi

nomino

  • 1

    mwanazuoni aliyebobea kwenye taaluma ya fasihi.

Asili

Kar

Matamshi

mwanafasihi

/mwanafasihi/