Ufafanuzi wa mwanagenzi katika Kiswahili

mwanagenzi

nomino

  • 1

    mtu anayejifunza stadi fulani chini ya mwalimu.

Matamshi

mwanagenzi

/mwanagɛnzi/