Ufafanuzi wa mwanahewa katika Kiswahili

mwanahewa

nomino

  • 1

    mtu afanyaye kazi ya kuendesha chombo cha angani k.v. ndege.

    rubani

Matamshi

mwanahewa

/mwanahɛwa/