Ufafanuzi wa mwanajamii katika Kiswahili

mwanajamii

nominoPlural wanajamii

  • 1

    mtu anayeishi katika jamii fulani.

Matamshi

mwanajamii

/mwanaʄami:/