Ufafanuzi wa mwanajopo katika Kiswahili

mwanajopo

nominoPlural wanajopo

  • 1

    mtu aliyepo katika kundi fulani la watu wenye kufanya kazi pamoja mahali maalumu; mwanapaneli.

    ‘Mwanajopo wa fasihi’
    ‘Mwanajopo wa kamusi’

Matamshi

mwanajopo

/mwanaʄɔpɔ/