Ufafanuzi wa mwanakijiji katika Kiswahili

mwanakijiji

nomino

  • 1

    mtu ambaye maskani yake ni katika kijiji.

Matamshi

mwanakijiji

/mwanakiʄiʄi/