Ufafanuzi wa mwanakisomo katika Kiswahili

mwanakisomo

nominoPlural wanakisomo

  • 1

    mtu ambaye anahudhuria mafunzo yaliyoandaliwa kwa watu wa rika maalumu, agh. watu wazima.

Matamshi

mwanakisomo

/mwanakisɔmɔ/