Ufafanuzi wa mwanamapinduzi katika Kiswahili

mwanamapinduzi

nominoPlural wanamapinduzi

  • 1

    mtu anayeamini na anayeendeleza kwa vitendo mabadiliko ya siasa na uchumi kwa faida ya wengi.

Matamshi

mwanamapinduzi

/mwanamapinduzi/