Ufafanuzi wa mwanamkendege katika Kiswahili

mwanamkendege

nominoPlural wanamkendege

  • 1

    mwanamke malaya.

    kiberenge, kahaba, kibiritingoma

Matamshi

mwanamkendege

/mwanamkɛndɛgɛ/