Ufafanuzi wa mwanamuziki katika Kiswahili

mwanamuziki

nominoPlural wanamuziki

  • 1

    mtu mwenye kipaji na ujuzi wa kutunga, kuimba nyimbo za muziki au kupiga vyombo vya muziki.

Matamshi

mwanamuziki

/mwanamuziki/