Ufafanuzi wa mwanamwali katika Kiswahili

mwanamwali

nominoPlural wanamwali

  • 1

    msichana aliyekwisha kubalehe lakini bado hajaolewa.

    msichana

  • 2

    msichana ambaye bado hajapoteza ubikira wake.

    bikira, batuli

Matamshi

mwanamwali

/mwanamwali/