Ufafanuzi wa mwanariadha katika Kiswahili

mwanariadha

nominoPlural wanariadha

  • 1

    mtu anayecheza michezo ya riadha k.v. kukimbia, kurusha mkuki au kuruka, n.k..

Matamshi

mwanariadha

/mwanarijaða/